Kwa nafasi ya wanawake
APRILI | Kwa nafasi ya wanawake

Tuombe kwamba utu na thamani ya mwanamke itambulike katika kila tamaduni, na kukomesha ubaguzi wanaokumbana nao sehemu mbalimbali za dunia.

Official Image - TPV 3 2024 SW - Kwa ajili ya mashahidi wa siku zetu, mashahidi wa Kristo - 889x500

MACHI | Kwa ajili ya mashahidi wa siku zetu, mashahidi wa Kristo

Tuombe kwamba wale wanaohatarisha maisha yao kwa ajili ya Injili katika sehemu mbalimbali za dunia waweze kulijaza Kanisa kwa ujasiri na msukumo wao wa kimisionari.

FEBRUARI | Kwa wagonjwa mahututi

FEBRUARI | Kwa wagonjwa mahututi

Tuwaombee wagonjwa mahututi na familia zao kila mara wapate matibabu muhimu, huduma na usaidizi wa kibinadamu.

Official Image - TPV 1 2024 SW - Kwa Ajili ya Utofauti wa Karama Katika Kanisa - 889x500

JANUARI | Kwa Ajili ya Utofauti wa Karama Katika Kanisa

Hebu tuombe kwamba Roho atusaidie kutambua zawadi ya karama mbalimbali ndani ya Mkristo jamii, na kugundua utajiri wa mapokeo mbalimbali ya kitamaduni ndani ya Kanisa Katoliki.

TOTAL VIEWS

+ 222M

only in Vatican Networks

VIEWS 2024

+ 4.3M

PRESS ARTICLES

+ 25K

in 114 countries

See the last month video

Help spread the Pope’s Prayer Intentions today!

Nacho JimenezVideo ya Papa